Friday, September 25, 2015

KAHAMA YAHEMEWA MKUTANO WA MAGUFULI


 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.

  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
 Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
 Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
 Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 Chegge na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Milango 10.
 Chegge na Temba wakishambulia jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Alhaji Abdallah Bulembo akiwahutubia wakazi
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Mhe.Samuel Sitta akihutubia wakazi wa Kahama mjini wakati wa mkutano wa kampeni wa  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Wasanii wa Yamoto Band wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.
 Wachimbai wadogo wa Nyarugusu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia kwenye mkutano wa kampeni.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Nyarugusu mkoani Geita. Wakazi wa Bukoli wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mwananchi akifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Bukombe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Igurwa ,Bukombe mkoani Geita.
 Umati wa wakazi wa Bukombe ukimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Magufuli ni kazi tu.
 Bukombe
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbogwe kwenye uwanja wa shule ya msingi  Masumbwe.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mwabomba amabao wengi ni wachimbaji wadogo wadogo wa madini, Ushetu mkoani Shinyanga.
 Msafara wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili Bulungwa jimbo la Ushetu.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu Ndugu Elias John Kwandikwa.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.