Sunday, September 20, 2015

CHATO YASEMA WAO NI MAGUFULI TU MWANZO MWISHO

 Msafara wa mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli ukielekea kwenye uwanja wa michezo Chato maarufu kama Mazaina.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato.
 Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya mkutano kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Musukuma na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo.


 Hii ndio meza kuu.
 Shilole akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Chato
 Chege na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chato CCM.
 Mr.Blue akiwapagaisha wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni.


 Original Komedi wakitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Joti akipeana mkono na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza kutumbuiza.
 Yamoto Band wakitumbuiza kwenye uwanja wa michezo Chato kabla ya kuanza mkutano wa kapeni za CCM. Khadija Kopa akitumbuiza wakazi wa Chato
 Ali Star wa TOT akitumbuiza kwenye jukwaa la CCM Chato wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
 Fid Q akishusha mistari kwenye jukwaa la kampeni za CCM Chato.
Bushoke akitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Wakazi wa Chato wakimsikiliza Muwakilishi wa walemavu kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijinadi na kuwaambia Tanzania mpya itakuwa ya Viwanda.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato ambapo maelfu ya watu walijitokeza kwa wingi kwenye mkutano.
 Umati wa wakazi wa Chato wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.