RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO USWIS

 Wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa  Geneva wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva Uswisi. (picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa  Geneva jana baada ya kuzungumza nao na kasha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva Uswisi. (Picha na Freddy Maro)