LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2015

CCM YAANZA KUMTANGAZA MGOMBEA WAKE WA URAIS DK. JOHN MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi John Pombe Magufulu pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa  Jamhuri mjini Dodoma

  Dk. Magufuli akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kuja kumsalimia na kumuona mgombea huyo wa CCM.
Dk. Magufuli akisalimiana na wananchi

 Mgombea mwenza wa Dk. Magufuli, Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma

Dk. John Magufuli akizungumza na wakazi wa Dodoma ikiwa sehemu yake ya kwanza  kujitambulisha kwa wananchi baada ya kutangazwa kuwa mgombea rasmi wa CCM. Picha zote na Adam Mzee

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages