Saturday, June 27, 2015

KINANA ATIMU VUMBI AKIKAGUA NA KUHIMIZA MAENDELEO JIMBO LA NYAMAGANA, LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasli katika Uwanja wa CCM Kirumba, kuzungumza na Mamalishe, Machinga na waendesha bodaboda, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama, katika jimbo la Nyamaagana mkoani Mwanza leo.
 Mamalishe, Machinga na waendehs bodaboda, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipozungumza nao katika Uwanja wa CCM Kilumba, mkoani Mwanza leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mamalishe, wamachinga na waendesha bodaboda alipokutana nao kuzungumzia maendeleo ya shughuli zao, katika Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza leo.
 Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga akitoa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (Kulia), katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Mwanza leo
 Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Nyamagana, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Mwanza.
 Wananchi wakiwa wamesimama juu ya daraja la zamani, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa daraja la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua ujezi wa  daraja la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua ujezi wa  daraja la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Wananchi wakiwa kwenye daraja mpya la Isegenge katika Kata ya Mahina, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa daraja hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika katika soko la Igoma, wilayani Nyamagana mkoani Mwanza.
 Mjumbe wa NEC, katika wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza, akihutubia mkutano a hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika katika eneo la soko la Igoma, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika eneo la soko la Igoma, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo.
 Wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowahutubia katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika eneo la soko la Igoma, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo.
 Mwananchi akinunua nguo za mitumba katika soko la Igoma, jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipatiwa maelezo kuhusu mradi wa maji wa Fumagila katika Kata ya Kishiri, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua Ofisi ya CCM  Kata ya Buhongwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua Ofisi ya CCM  Kata ya Buhongwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakati wa uzinduzi  Ofisi ya CCM  Kata ya Buhongwa, Kinana akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano wa hadhara aliofanya baada ya kuzindua Ofisi ya CCM  Kata ya Buhongwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipowahutubia baada ya kuzindua Ofisi ya CCM Kata ya Buhongwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kuzindua Shina la wakereketwa wa CCM ambao ni wajasiriamali  na waendesha bodaboda  katika kata ya Nyegezi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza baada ya kuzindua Shina la wakereketwa wa CCM ambao ni wajasiriamali  na waendesha bodaboda  katika kata ya Nyegezi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipandisha bendera, kuzindua shina la wakereketwa wa CCM, la Bunge, katika eneo la Nyegezi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama, jimbo la Nyamagana, Mwanza leo. Picha na Bashir Nkoromo na Adam Mzee
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.