Thursday, June 18, 2015

KINANA AINGIA WILAYA YA NYANG'HWALE MKOANI GEITA, AKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA UHAI WA CHAMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili  kwenye Ofisi ya CCM Kata ya Bukwimba, wilayani Nyang'hwale, kuanza ziara katika wilaya hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Geita, leo
 Katibu Mkuu wa CCM Andulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi jengo la Ofisi ya CCM Kata ya Bukwimba, wilaya ya Nyang'hwale, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Geita, leo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kufukia mtaro wa bomba la mradi wa maji safi katika katika Kijiji Cha Bukwimba, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita, leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini mbunge wa Nyang'hwale Hussein Kasu aliyekuwa akisalimia wananchi katika Kijiji cha Nyakwasi, kabla ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kushiriki kuongesha mifugo katika josho la ushirika wa wafugaji katika kijiji hicho leo.
 Wananchi katika Kijiji cha Nyakwasi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana alipowasili kwenye Josho la Ushirika wa wananchi wa Kijiji cha Nyakwasi, kushiriki uogeshaji mifugo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita leo.
 Katibu wa NEC, tikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitazama josho la ushirika wa wafugaji wa Kijiji cha Nyakwasi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika kuzhiriki uogeshaji mifugo kwenye josho hilo leo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama wilayani Nyang'hwale mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumzana wananchi alipowashutubia kabla ya kushiriki uongeshaji mifugo katoka josho la ushirika wa wafugaji wa kijji cha Nyakwasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama wilayani Nyang'hwale mkoani Geita.
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki uongeshaji mifugo katika josho la ushirika wa wafugaji katika kijiji cha Nyakwasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngang'hwale mkoani Geita.
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpeleka mbuzi kwenye josho hatua kwa hatua aliposhiriki uongeshaji mifugo katika josho la ushirika wa wafugaji katika kijiji cha Nyakwasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngang'hwale mkoani Geita.
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa Kina Mama wa kusanga na kukoboa, katika Kijiji cha Nyamgogwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya CM na Uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasha mashine ya kusaga na kukoboa wakati alipozindua mradi huo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizindua jengo la kitega uchumi la CCM katika kata ya Kharumwa, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM katika wilayani Nyang'hwale mkoani Geita, leo.
 Wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana alipowasili kuwahutubia katika Kijiji cha Busolwa wilayani Nyang'hwale mkoani Geita leo
 Katib Mkuu wa CCM Anbdulrahman Kinana akitazama tikiti alipotembelea shughuli za kina mama wajasiriamali wa  Nyang'hwale mkoani Geita leo
Katibu Mkuu wa CCM na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakitoka kukagua ujenzi wa hopitali katika kata ya Kharumwa wilayani Nyang'hwale mkoani Geita.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia wananchi katika mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, uliofanyika katika Uwanja wa michezo wa Kharumwa, Katibu Mkuu huyo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wailani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita leo.
Kinana akizindua jengo la kitega uchumi la CCM Kharumwa, wilayani Nyang'hwale

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia mamia ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa michezo wa Kharumwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wailani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita leo. Picha zote na Bashir Nkoromo)
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.