Tuesday, June 30, 2015

KINANA AANZA ZIARA WILAYANI UKEREWE ATEMBELEA KISIWA CHA IRUGWA NA UKARAKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Mansoor wakati wakielekea kwenye visiwa vya Irugwa wilayani Ukerewe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na Diwani wa kata ya Irugwa wakati wa mapokezi yaliofanyika katika kijiji cha Sambi wilayani ukerewe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akipanda pikipiki kuelekea kwenye kushiriki ujenzi wa kituo cha Afya.
 Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akisaini vitabu vya wageni kbla ya kuhutubia wakazi wa Irugwa wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza.
Diwani wa Kata ya IrugwaNdugu Nbasa Juma akisalimia wananchi wa kata yake kabla  ya kumkaribisa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu akipungia mkono  wakazi wa kata ya Irugwa wakati wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Irugwa wilayani Ukerewe
 Wananchi wa Kata ya Irugwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kucheza ngoma ya Matwigachalo mara baada ya kumaliza kuhutubia.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwaaga wakazi wa kata ya Irugwa mara baada ya kumaliza kuhutubia.

 Katib8u Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Ukara waliojitokeza kwa wingi kumpokea
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akisalimia wakazi wa Ukara waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa mikutano sekondari ya Bwishe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kisiwa cha Ukara  ikiwa sehemu ya kujenga na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Ndugu Ezekiele Samson ambaye liuliza swali linalohsiana na vifaa maalum kwa aajili ya chumba cha upasuaji katika kata ya Ukara bado ni tatizo sana.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifuturu ndani ya meli ya Mv.Nyerere akiwa njiani kuelekea Nansio Ukerewe,Wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mhe.Antony Diallo (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo.
 Vijana wa Nansio wakimpa mkono Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuwasili katika mji huo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa  Nansio wilayani Ukerewe.
(Picha na Adam Mzee na Bashir Nkoromo)

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.