Monday, March 16, 2015

KINANA AITEKA KARATU JIONI HII

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Karatu mjini katika viwanja vya Mazingira Bora.
 Kinana akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa hadhara ikiwa moja ya sehemu ya mpango wa ziara yake ya kujenga na kuimarisha Chama, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi
 Kinana akihutubia wananchi wa Karatu ambao wamechoka utawala wa wapinzani Karatu mjini
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Karatu na kuwaambia Upinzani umekwisha Karatu.
Vijana wa mjini wanakuambia ukiona nyomi kama hili lime jamaa katika mkutano wa CCM kartau mjini ujue upinzani kwa heri.
Picha zaidi zinakuja muda si mrefu...

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.