ZAWADI YA KOMBA KWA CCM 2015

Kapteni John Komba atakumbukwa kwa mengi ,hapa akitumbuiza kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Maji Maji tarehe 1 Februari, 2015.