Thursday, February 5, 2015

NAPE AKUTANA NA UONGOZI WA TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN) LEO

 Katibu wa NEC, Itrikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokewa na Mhariri Mtendaji wa Kampunu ya Magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspapers (TSN), Gabriel Nderumaki alipowasili leo kwenye Ofisi za kampuni hiyo kwa ajili ya kuwa na mazungumzo na uongoz. TSN ni wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na Sport Leo.
 Nderumaki akimuonyesha Nape chumba cha habari cha Daily News
 Sehemu ya chumba cha habari cha Daily News
 Nderumaki akiwatambulisha kwa Nape baadhi ya viongozi wanaosimamia magazeti ya Habari leo, Nicodemus Ikonko (kulia) na Nelson Goima. Ikonko ni ni Kaim Mhariri na Goima ni Mhariri Msanifu
 Nape akiuliza baadhi ya mambo alipokuwa akitambulishwa na Nderumaki kwa Mhariri wa Habari wa Habari leo, Eric Anthony (kulia)
 Nape akilipitia gazeti la Habari Leo wakati kwenye Ofisi za TSN. Kulia ni Katibu wa TSN Mwadawa Saqware.
 Nape akisaini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasilino ya Umma wa Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo akisoma gazeti la Habari Leo
Nderumaki akitoa maelezo muhimu kuhusu mafanikio na changamoto kuhusu kampuni ya TSN wakati wa mazungumzo na Nape.
 Nape (kulia) akizungumza kujibu maelezo ya Nderumaki wakati wa mazungumzo hayo
 Nape akifafanua akiendelea kueleza mambo kadhaa. Wengine ni Ikonko, Mhariri wa Daily NewsTuma Abdallah, Goima, Eric na Mwandishii wa Online wa Daily News, Ashery Mukama
 Nape akimalizia mazungumzo yake na uongozi huo, kwa kuwatakia kila la heri katika utendaji wao
 Katibu wa TSN Mwadawa Saqware akimpatia Nape zawadi za  Diary za TSN
 Nape na msafara wake wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa magazeti ya TSN
 Nape akiteta yaliyosalia na Nderumaki baada ya picha hiyo ya pamoja
Nape akiagana na Nderumaki. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.