Friday, February 20, 2015

DK. SHEIN ATEMBELEA WIZARA YA UWEZESHAJI USTAWI WA JAMII,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kuulia) akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana ,Wanawake na Watoto   katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]
Watendaji wa Wizara ya  Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana ,Wanawake na Watoto   wakimsikiliza Waziri  wa Wizara hiyo Bi Zainab Omar Mohamed (hayupo pichani)   alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika jana ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.)
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.