LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 28, 2015

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO NCHI MASIKINI DUNIANI


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Mwenyekiti Mwenza wa
Bill&Melinda Gates Foundation,  Bw.  Bill Gates, huku Waziri wa
Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani Bw. Gerd Muller, Rais wa Mali Mhe.
Ibrahim Boubacar KeĂŻta  jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula
cha jioni cha mazungumzo na harambee ya  kuchangisha fedha katika
mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa
za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI)
ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka
sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali
na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela  Merkel wa
Ujerumani,  Rais wa Mali Mhe  Ibrahim Boubacar KeĂŻta, Waziri Mkuu wa
Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates
Foundation,  Bw.  Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, kabla
ya kuanza kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa
wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global
Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi
kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500
wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba
wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela  Merkel wa
Ujerumani,  Rais wa Mali Mhe  Ibrahim Boubacar KeĂŻta, Waziri Mkuu wa
Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenkekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates
Foundation,  Bw.  Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, wakati
wa chakula cha mchana cha mazungumzo baada ya kumalizika kwa  mkubwa
wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na
kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for
Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya
kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata
chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba
wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela  Merkel wa
Ujerumani,  baada ya kumalizika kwa  mkubwa wa kuchangisha fedha
katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za
kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation
(GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo
mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali
mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza
maisha.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua
mbalimbali za  mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya
juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and
Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo
duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia
magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari
ya kupoteza maisha.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo ya GAVI toka kwa
mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na
mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa
mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi
ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo
imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa
watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na
wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha

 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kupokea  tuzo ya
GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten
kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia
utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za
kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation
(GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo
mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali
mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza
maisha



No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages