Tuesday, December 2, 2014

WAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA YA TBL Jacquline Shija Mazemle, aliyewezeshwa na TBL na kufanikiwa kuanzisha mghahawa maarufu wa FACEBOOK, ulioko karibu na Chuo Kikuu cha Kampala, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
Akiandaa chakula na wenzake Ramadhan Seleman kushoto na Hans Shija
 Akiwahudumia na wateja wa Facebook
 Dorren Asey aliyewezeshwa na TBL kutengeneza mikate, keki na maandazi kupitia kampuni yake ya Dee Bakery,Doreen akiandaa mikate
 Doreen akiandaa mikate
 Dorren akionyesha mashine ya zamani

 Dorren kulia na msaidizi wake Ali Chares

 Dorren Assei akionesha moja ya majiko ya kuokea mikate
 Hapa ndio Facebook
 Jacquline Shija akielezea kuhusu mafanikio yake baada ya kuwezeshwa na Safari Lager Wezeshwa
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.