TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA C.O.P 20, LIMA

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia sehemu ya pili ya ufunguzi wa mchakato wa kuanzisha chombo kipya cha kisheria kitakachohusisha nchi zote wanachama wa mkataba wa dunia wa mabadiliko ya tabia nchi katika kukabiliana na masuala hayo (ADP) jana,  mjini Lima. (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)