Friday, December 5, 2014

MTEMVU AWASHA MOTO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akiongea na wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)   katika Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni kupitia Chama hicho  ,uliofanyika katika kata ya Azimio Kaskazini  ,ambapo kilele ni 14 Desemba.
 Mkurugenzi wa Blog ya Full Shangwe John Bukuku (kulia), akiongea na Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto), kabla ya ufunguzi wa kampeni za Wenyeviti na wajumbe wa Serekali ya Mtaa  kata ya Azimio  Dar es Salaa
 Mbunge wa Jimbo la Temeke , Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam na  mjumbe wa Halmahauri kuu ya Taifa  Abbas Mtemvu (wapili kushoto) , akiwasili katika mkutano wa uzinduzi  wa Wenyeviti wa Rerekali za Mtaa na wajumbe wake katika Kata ya Zimio Dar es Salaa.
 Katibu Mwenezi Mstaafu Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara , akisalimiana na  Mbunge wa Jimbo la Temeke , Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam na  mjumbe wa Halmahauri kuu ya Taifa  Abbas Mtemvu, mara alipowasili katika Uzinduzi wa kampeni za uchgauzi wa wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa katika Kata ya Azimio. Tandika iliyopo Dar es Salaam.
 Sehemu ya wanachama wakifatilia jambo kwa umakini

 Msanii wa nyimbo ya Mtaa wa Saba , akipokea zawadi mara walipo tumbuiza Nyimbo hiyo .
  Mbunge wa Jimbo la Temeke , Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam na  mjumbe wa Halmahauri kuu ya Taifa  Abbas Mtemvu, akimnadi Mwenyekiti wa  Serekali ya Mataa anayewania nafasi hiyo Mwishehe Manyamba. akiwa na Wajumbe wenzake.

Wanacha wa chama cha Mapinduzi wakimuhakikishia Mbunge, wagombea wachama hicho  walio jitokeza pamoja na wajumbe wake  ni majembe. Picha na Khamis Mussa
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.