Friday, December 5, 2014

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WA WILAYA YA MKOANI.


  Ustadhi Mohamed Juma Issa (kushoto) akisalimiana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  baada ya kusoma Quran Tukufu wakati wa  Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  leo   katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
  Sheikh Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa tafsiri ya Quran iliyosomwa na Sheikh Mohammed Juma Issa (hayupo pichani) katika kufungua Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  uliohutubiwa  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  leo akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Wasoma Utenzi Saada Mohamed Zahran na Asha Mohamed Ng’wali wakihani utenzi wao katika wa  Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  leo   uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akipokea risala kutoka kwa msomaji Mwanajuma  Hassan  Kaduara katika wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Fidel Castro akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame Haji akimakaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Fidel Castro chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.