LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 27, 2024

RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA SEKONDARI WASICHANA YA DK. SAMIA SULUHU HASSAN NAMTUMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika Kitongoji cha Migeregere Kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024. Anayemsaidia  ni Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa.

Picha za Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dk. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma

 

Rais Samia akipiga picha ya kumbukumbu na wanafunzi wa shule hiyo.

baada ya shule hiyo kuzinduliwa rasmi na Rais Samia.Wanafunzi wakishangilia 









 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages