Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mwandabila amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kusisitiza uimarishaji wa Lishe Tanzania kwa lengo la kupunguza utapiamlo. Aidha ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu kuona umuhimu wa kuleta sera mpya ya lishe. Pia ameitaka serikali kuwa na mipango ya kujenga Bandari Kavu katika Mji wa Tunduma, Songwe kwa lengo la kuhudumia nchi mbalimbali zinazopakana na Tanzania katika ukanda huo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Akitoa msisitizo kuhusu suala hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇