Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akizindua wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Aprili 3,2023.
Dkt. Mpango (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM Taifa), Komredi Daniel Chongolo (wa pili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,
Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumisi wa Umma naUtawala Bora, George Simbachawene akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Ridhiwani Kikwete
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akijadiliana jambo na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete,
Baadhi ya wabunge waliohudhuria uzinduzi huo.
Waziri wa Madini, Dotto Biteko akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbarouk Nassoro Mbarouk.
MamaSalma Kikwete akibadiliashana mawazo na Msajiri wa Hazina, Nehemia Mchechu (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu, Emmanuel Tutuba
Gavana wa Benki Kuu akizungumza na baadhi ya mawaziri.
Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Proifesa Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya mawaziri wenzie.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akizungumza na Meya wa Jiji lA Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe. Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Augustine.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mpango akihutubia wakati wa uzinduzi huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇