LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 7, 2022

WATANZANIA WATATU WAPATA USHINDI MASHINDANO YA KARATE UGANDA



Kushoto Moses Mwanyilu, Kenedy Isaac, Ali AmirAli, Ummikulthum Abdallah,  Hema Rathod wakiwa wamevaa medali za Dhahabu na kushika bendera ya Taifa lao baada ya kushinda kwenye michuano ya Heroes Cup yaliyofanyika nchini Uganda
 

Washiriki watatu kutoka klabu ya Won Hyo ITF Taekwon-Do Center na wawili kutoka Choi Taekwon-Do Club za Tanzania, wakiwa wamevaa medali za dhahabu na kushika Bendera ya Taifa baada ya kushinda kwenye michuano ya Heroes Cup yaliyofanyika nchini Uganda. 

Mashindano hayo ambayo yalishirikisha nchi tatu Uganda, Tanzania, na Somalia.

 Washindi  wanaishukuru serikali ya awamu ya sita ikiongozwa na Rais Samia suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages