LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 7, 2022

MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA KATI DODOMA YAZIDI KUPAMBA MOTO+video


Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Gift Msuya (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Singida,  Mhandisi Paskasi Muragili wakisikiliza kwa makini wakati Mtaalamu akielezea kuhusu mbegu bora ya mahindi walipotembelea Banda la Seed Co katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Name Kanda ya Kati jijini Dodoma Agosti 7, 2022.

 Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Gift Msuya (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Singida,  Mhandisi Paskasi Muragili wakisikiliza kwa makini wakati Mtaalamu akielezea kuhusu ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba  katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Name Kanda ya Kati jijini Dodoma Agosti 7, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, wakuu hao wa wilaya wakielezea kuhusu maonesho hayo.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages