LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 28, 2021

MWANAMUZIKI NGULI GENERAL DEFAO WA CONGO-DRC AMEFARIKI DUNIA, LEO

Na CCM Blog/Mitandao

Mwanamuziki Nguli wa muziki wa Rumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC), Lulendo Matumona maarufu kwa jina la General Defao (63) amefariki dunia.


Taarifa zimethibitisha kuwa Defao amefariki usiku wa kuamkia leo nchini Cameroon alikokwenda kutumbuiza.


Defao alitambulika rasmi kwenye muziki mwaka 1976, akatoa nyimbo kubwa kama Sidewalk radio, Kikuta family na School love.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages