LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2021

NAIBU WAZIRI KUNDO ATEMBELEA MABANDA YA TAASISI, MAADHIMISHO YA SIKU YA POSTA DUNIANI

NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew akisindikizwa na msanii Mrisho Mpoto kwa wimbo maalumu  alipokuwa akitembelea mabanda mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini Dodoma. Mpoto ni Balozi wa Posta.

 



Mhandisi Kundo akiwa katika Banda la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Mhandisi Kundo akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Elimu na Uhamasishaji wa TCRA- CCC, Hilarz Tesha kuhusu taasisi hiyo.

Ofisa Mkuu wa Biashara ya Rejareja wa Kampuni ya DHL, Abdallah Shariff akimpatia Mhandisi Kundo kuhusu shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo.

Naibu Waziri, Kundo akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu kazi za mamlaka hiyo.
Mhandisi Kundo akiwa banda la Airtel
Mhandisi Kundo akitembelea banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom.
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba akimpatia maelezo Naibu Waziri, Mhandisi Kundo kuhusu mikakati ya kuboresha mawasiliano nchini.
Mhandisi Kundo akitia saini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea banda la  Wakala wa  Usajili Leseni za Biashara (BRELA)
Mhandisi kundo akiwa banda la Shirika la Mawasiliano Tanyania (TTCL).
Mhandisi Kundo akiwa banda la Kampuni ya TSN ya magazeti ya Serikali ya Daily News na  Habari Leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages