LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2021

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MTAKATIFU MARTIN YA KIPATIMU KILWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu wilayani Kilwa, Dkt. Christina Kasyama (kulia) kuhusu mashine ya X-ray  wakati alipotembelea hospitali hiyo, Oktoba 6, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na wauguzi wa Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu wilayani Kilwa wakati alipoitembelea, Oktoba 6, 2021. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages