LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2020

MABULA AMTEMBELEA MJANE WA BABA WA TAIFA BUTIAMA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsikiliza mjane wa Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere Bi Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Butiama mkoa wa Mara jana wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiagana na  mjane wa Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere Bi Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Butiama mkoa  wa Mara jana wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi Hati ya Ardhi Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo cha Mwl Nyerere Profesa Agnes Mwakaje alipokuwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mkoa wa Mara jana.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa Butiama mkoa wa Mara baada ya kuwakabidhi Hati ya Ardhi jana  wakati wa  ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mkoa wa Mara (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI).

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages