LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 19, 2020

ZIARA YA WAZIRI MKUU VISIWANI PEMBA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa nyumba za Polisi Mfikiwa, Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi, Seif Ali Iddi, baada ya kuwasili Pema, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi, Seif Ali Iddi, wakati akiwasili wa ndege wa Chakechake Pema, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, wakati akitoa taarifa ya Mkoa, baada ya kuwasili Pema, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages