LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 21, 2020

WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO CHA SABAI MKURANGA

 Meneja wa kiwanda cha kubangua korosho cha SABAI. Yonathan Kamee akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki mashine ya kubangulia korosho alipotembelea kiwanda hicho kilichopo katika Kata ya Kiparang’anda Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani ili kuona uwekezaji huo, Januari 20, 2020
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiangalia korosho zilizobanguliwa na mashine maalum katika kiwanda cha kubangua, kukausha na kudarajisha korosho cha Sabai Kilichopo Kata ya Kiparang’anda Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Januari 20, 2020.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bw. Filberto Sanga wakati wa ziara yake ya kikazi katika kiwanda cha Kubangua na kukausha korosho cha SABAI Mkuranga Pwani, Januari 20, 2020.

 Meneja wa kiwanda cha kubangua na kukausha korosho cha Sabai.  Yonathan Kamee akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki mazingira ya kiwanda hicho wakati wa ziara yake ya kikazi kiwandani hapo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Serikali alioongozana nao pamoja na watumishi wa kiwanda cha kubangua korosho cha SABAI Mkuranga, mkoa wa Pwani  wakati wa ziara yake .

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages