LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 22, 2019

RAIS DK. MAGUFULI MSIMBANI NYUMBANI KWA WAZIRI DK. KIGWANGALA

Rais Dk. John Magufuli akiwapa pole mke wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamis Kigwangalla,  Dk. Bayoum Kigwangalla na Hawa Mushi, nyumbani kwa Waziri Kigwangalla, Victoria Jijini Dar es Salaam, leo, kufuatia msiba wa kifo cha Mtoto Zul Hamis Kigwangala, kilichotokea Februari 21, 2019 katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages