LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 21, 2019

MABOMA ZAIDI YA 20 YACHOMWA MOTO MPAKANI MWA ARUMERU NA MONDULI MKOANI ARUSHA

 Nyumba maarufu kwa jina la Maboma zaidi ya 20 ya wafugaji katika eneo la Mfereji mpakani mwa wilaya ya Monduli na Arumeru yamechomwa moto kwa kile kinachoelezwa kuwa ni migogoro ya ardhi ya wafugaji katika maeneo hayo. Pichani, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Murro, akitazama moja ya nyumba iliungua katika tukio hilo.
 Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Murro, akitazama mwananchi aliyedhurika baada ya nyumba yake kuundu katika tukio hilo.
Moja ya nyumba iliyoungua katika tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages