LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 12, 2019

BASI LA ABOOD LATEKETEA KWA MOTO

Basi lenye namba za usajili T 877 DJP mali ya kampuni ya Abood linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Morogoro limeteketea kwa moto katika eneo la Chalinze mkoani Pwani baada ya kupata hitilafu ya umeme. Hakuna madhara kwa binadamu yaliyotokea.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages