LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 30, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AMJULIA HALI MAMA YAKE MZAZI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli na Wasaidizi wake wakimuombea Mama yake Mzazi Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu Jijini Dar es Salaam, leo, Desemba 30, 2018. Suzana Magufuli anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu kwa takribani miezi mitatu sasa.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages