LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA SHUKURANI YA RAIS MSTAAFU BENJMANIN MKAPA KUTIMIZA UMRI WA MIAKA 80

  Rais John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpa zawadi ya kadi na kisha kumpongeza Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akiwa na mkewe Mama Anna Mkapa kwa kutimiza umri wa miaka 80 katika Misa ya Shukurani ya uhai iliyofanyika 
katika kanisa la Mtakatifu Imakulata jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2018
 Rais John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja  Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa pamoja na Maaskofu wakati wa Misa ya Shukrani kwa Mhe. Mkapa kutimiza umri wa miaka 80 
katika kanisa la Mtakatifu Imakulata jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2018
 Rais John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea kwa furaha na  Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa baada ya  Misa ya Shukurani kwa  Mhe. Mkapa kutimiza umri wa miaka 80 katika kanisa la Mtakatifu Imakulata  jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2018
Rais John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Misa ya Shukurani ya  Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kutimiza umri wa miaka 80 katika kanisa la Mtakatifu Imakulata jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2018. Kulia kwa Mhe. Mkapa ni mkewe Mama Anna Mkapa

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages