LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2018

BALOZI MPYA WA NORYWAY AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI JIJINI DODOMA LEO

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai akiwa na Balozi mpya wa Norway hapa nchini Balozi Elisabeth Jacobsen ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, leo. Balozi huyo amempa Spika salamu maalum kutoka Serikali ya nchini kwake.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages