LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 3, 2018

WAZIRI MWIJAGE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MWANAHABARI SHADRACK SAGUTI, JIJINI DAR

_DSC1048

 Waziri wa Viwanda ,Biashara na wawekezaji Charles Mwijage akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)

_DSC1054

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

_DSC1067

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

_DSC1075

Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogoloakitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

_DSC1109



_DSC1116



_DSC1127



_DSC1133



_DSC1139



_DSC1142



_DSC1145



_DSC1167



_DSC1174



_DSC1180



_DSC1182



_DSC1187



_DSC1198



_DSC1203



_DSC1208





No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages