Wednesday, August 1, 2018

WANAFUFUNZI WANNE WAFARIKI WAKIOGELEA, MZAZI AFA KWA MSHITUKO

 Enzi ya uhai wake Queen Mandele

Marehemu Queen Mandele akimpongeza mwanafunzi mwenzake Eliah Lazaro wakati wa kumpongza 2017 ambapo marehemu alikuwa kidato cha Tatu

Mama mzazi wa mwanafunzi wa Sekondari ya Kimbiji  Queen Mandele, aliyekufa kwa maji,  Happy Mathew (wa pili kushoto) akiwa katika makaburi ya Kongowe mwisho Mkoa wa Pwani kabla ya kuaga dunia leo Agosti 01, 2018, Habari ya kifo cha mama wa marehe imethibitishwa na mume wa marehemu, Mzee Mandele kuwa mkewake amepoteza maisha leo nyumbani kwake na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa Temeke kwa msaada zaidi na kuambiwa kuwa kisha poteza maisha na mwili umehifadhiwa Hospitalini hapo, mipango ya mazishi inafanywa vyumbani kwa marehemu  eneo la Bakwata Kongowe  imedhibitishwa na mume wa marehemu Mwili wa marehemu Queen Mandele ukiandaliwa kuwekwa katika nyumba yake ya milele eneo la makaburi ya Kongowe mwisho


Waombolezaji 

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.