LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 10, 2018

SPIKA WA BUNGE ALIPOTEMBELEA KIJIJI CHA NJOGE NA GOMAYE JIMBO LA KONGWA

 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akifurahia jambo wakati wa kikao cha ndani cha wajumbe wa CCM pamoja na wataalamu mbalimbali wa kijiji cha Gomaye katika wilaya ya Kongwa.


Wananchi mbalimbali wa Kijiji cha Njoge wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho mapema Agosti 9, 2018.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akihutubia jukwaani wananchi wa kijiji cha Njoge ili kusikiliza kero zao mbalimbali. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages