LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 1, 2018

MWILI WA MAREHEMU SHADRACK SAGATI KUAGWA ALHAMISI AGOSTI 2, 2018 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwili wa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Marehemu Shadrack Sagati, unatarajiwa kuagwa Alhamisi Agosti 2, 2018 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mwenezi wa chama cha  Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Dkt. Cosmas Mwaisobwa leo Agosti 1, 2016 imesema, shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Sagati itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana. Taarifa kamnili hii hapo chini,

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages