Saturday, August 4, 2018

MAMIA WAFURIKA KUUAGA MWILI WA MAMA WA MWANAFUNZI ALIYEKUFA KWA MAJI ENEO LA KIMBIJI

 Enzi ya uhaiwake Happy Mathew

Mwili wa mama aliyefariki baada ya mwanaye kufariki kifo cha maji Bahari ya Hindi eneo la Kimbiji Queen Mandale aliyekuwa akisoma Shule ya Sekondari ya Kimbiji, mwili umeagwa alasiri Agosti 3, 2018 katika hospitali ya Rufaa ya Temeke na kusafirishwa, Kilimanjaro kwa mazishi, mwili utapumzishwa Agosti 4 shambani kwake kijiji cha ukaseni chini (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.