LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2018

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA , LEE NAK - YON AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJLIWA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Lee Nak-Yon wakati mgeni huyo alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kamabarage Nyerere jijini Dar es salaam kwa Ziara ya siku tatu chini Julai 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu). 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Lee Nak- Yon baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kwa Ziara ya siku tatu nchini, Julai 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Lee Nak- Yon wakifurahiz jambo baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kwa Ziara ya siku tatu nchini, Julai 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages