Thursday, July 12, 2018

TFS KUHIFADHI MISITU YOTE ILIYOKO NDANI YA JIJI LA DODOMA

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi (kushotona Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Professa Dos
Santos Silayo wakisaini hati yamakubaliano inayoipa mamlaka TFS kupanda na kustawisha miti, na kuhifadhi misitu yoteiliyopo ndani ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kuikijanisha Dodoma mapema leo jijiniDodoma.
Wakibadilishana hati baada ya kuzisaini
Wakizungumza na waandishi wa habari
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.