LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 27, 2018

SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO BUNGENI JIJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin (wa kwanza kulia) pale ugeni kutoka Shirika hilo ulipomtembelea Julai  26 2018  Ofisini kwake Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin alipomtembelea Julai  26 2018  Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto) akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin (wa tano kulia) pale ugeni kutoka Shirika hilo ulipomtembelea Julai  26 2018  Ofisini kwake Jijini Dodoma.


 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO) walioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Philip Goodwin (kushoto kwa Spika) walipomtembelea Julai  26 2018  Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin alipomtembelea Julai  26 2018  Ofisini kwake Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages