LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 29, 2018

SAFARI YA KWANZA YA NDEGE YA BOEING 787-8 DREAMLINER MIKOA YA KILIMANJARO NA MWANZA

 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akisalimiana na mmoja wa Marubani wa ndege mpya ya Serikali ya Boeing 787-8 Dreamliner wakati ndege hiyo ilipokuwa ikianza rasmi kazi zake leo jumapili Julai 29, 2018. Ndege hiyoitaanza kufanya  safari zake katika mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Leonard Chamuriho akisalamiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira muda mfupi baada ya kushuka katika ndege ya Serikali ya Boeing 787-8 Dremaliner iliyoanza safari zake leo Jumapili Julai 29, 2018. Ndege hiyo itaanza kufanya safari zake katika Mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mwanza na Kilimanjaro.
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwelwe akizungumza na Watendaji, Watumishi na Wananchi mbalimbali waliohuduhuria katika hafla ya kuanza kazi kwa ndege mpya ya Serikali ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyoanza kazi zake leo Jumapili Julai 29, 2018. Kushoto ni Mkoa wa Mwanza John Mongella, na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo.

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Leonard Chamuriho akisalamiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira muda mfupi baada ya kushuka katika ndege ya Serikali ya Boeing 787-8 Dremaliner iliyoanza safari zake leo Jumapili Julai 29, 2018. Ndege hiyo itaanza kufanya safari zake katika Mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mwanza na Kilimanjaro.

Mhudumu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), akitoa maelekezo kwa abiria waliopanda ndege mpya ya Serikali ya Boeing 787-8 Dremaliner muda mfupi kabla ya kuondoka Jijini Dar es Salaam kuanza safari zake nchini kwa kuanzia na Mikoa mitatu ya Kilimanjaro, Mwanza na Dar es Salaam.(PICHA NA MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages