LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 29, 2018

RAIS MAGUFULI AMFARIJI ERIC SHIGONGO KUFUATIA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI BI. ASTERIA KAHABI KAPOLE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet, wakimpa pole Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Grop, Bw. Eric Shigongo, walipofika kumfariji kufuatia kifo cha mama yake mzazi Bi. Asteria Kahabi Kapole, nyumbani kwake Mikocheni B jijini Dar es Salaam leo Julai 29, 2018. Rais na mkewe pia walipata fursa ya kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa marehemu.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima za mwisho wakiwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongozana na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group, Bw. Eric Shigongo na nduguye Bw.Daudi Machumu baada ya kutoa heshima za mwisho kufuatia kifo cha Bi. Asteria Kahabi Kapela ambaye amefiwa  mama yake na Bw. Shigongo.
  Wanafamilia ya Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela wakiwa msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Bw. Daudi Machumu, ndugu wa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa  pole kwa wanafamilia ya Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa  pole kwa wanafamilia ya Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018.(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages