LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 11, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI

 Rai Dk. John Magufuli akisalimiana na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dk. John Magufuli akiwatambulisha Baadhi ya Viongozi
(hawaonekani pichani ) kwa Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mchumi kutoka Ubalozi wa Sweden True Schedvin
Rais Dk. John Magufuli akiagana na Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam
Rass Dk. John Magufuli akimpongeza Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akimpongeza Balozi wa Malawi anayemaliza muda wake hapa nchini Hawa Olga Ndilowe mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akimpa zawadi Balozi wa Malawi anayemaliza muda wake hapa nchini Hawa Olga Ndilowe mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages