LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2018

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), WILAYA YA ILALA AKIZUNGUMZA NA WAKULIMA WA NZASA,NYEBURU NA KIMWANI

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma (kulia) akizungumza na wakulima wa Nzasa,Nyeburu na Kimwani wakati wa mkutano wa kufatilia mgogoro kati ya Maofisa Maliasili, Kisarawe Pwani  na wakulima hao mwishoni mwa wiki (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Nzasa, Hashim Mzuri (Kushoto) akimwonyesha ramani  ya mipaka ya eneo la wananchi na maliasili kisarawe mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma wakati wa mkutano huo uliofanyika Mwishoni mwa  wiki


 Mzee Said Dingubita (Kulia) akimuonesha vielele mbalimbali, mwenyekiti  wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma   zikiwemo kadi za zamani za 1922 na kadi za chama  wakati wa mkutano huo

  zainabu chande akizungumza katika mkutano huo 
 Mwenyekiti wa Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma wapili (Kushoto) akiongozana na viongozi pamoja na wananchi kwenda kuangalia mipaka hiyo

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ilala Joyce Mkaugala (kulia) akionjeshwa maji ya kisima cha asili cha Longelo na mjumbe wa halmashauri kuu ya Wilaya ya Ilala Abdalah Timbaye kilichopo katika eneo la Nzasa lenye mgogoro kati ya wananchi na maliasili 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages