LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2018

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, OFISI NDOGO ZA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA JIINI DAR ESALAAM, LEO

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akilakiwa na wajumbe alipowasili ukumbini kuogoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akilakiwa na wajumbe alipowasili ukumbini kuogoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
 Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli katika kikao cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiogoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula (kushoto) katika kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
 Mjumbea wa Kamati Kuu ya CCM, Wazri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akiwa katikakikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
 Wajumea wakiwa kwenye kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
 Wajumea wakiwa kwenye kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, leo.
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, ambamo kikao hicho kimefanyika, leo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages