LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2018

MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA AHAMIA CCM LEO

Aliyekuwa Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara leo ametangaza kujivua nafasi zake zote ikiwemo Ubunge na Uanachama was Chadema.

Waitara ametangaza hatua hiyo wakati akizungumza na waandisho was habari, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM mtaa was Lumumba jijini Dar es Salaam.

Amesema aneamua kuachia ngazi kutokana na uongozi usioekeweka wa viongozi was ngaxi ya juu was Chadema hasa katika suala la kuwaletea maendeleo wananchi.

Pichani, Waitara akitangaza uamuzi wakeo huo Leo. Julia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages