LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2018

MAJALIWA AMTAMBULISHA MKUU WA WILAYA YA KAHAMA KWA WANANCHI NA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA KITUO CHA AFYA CHA CHELA WILAYANI KAHAMA.

PMO_5371
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha  wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Mkuu huyo wa wilaya aliapishwa jana asubuhi na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Teklack.
PMO_5322
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi Macha akiwatambulisha viongozi wa wilaya ya Kahama wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasalimia wananchi wa Kijiji cha Chela baada ya kuweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Wanne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na kulia ni Mbunge wa Msalala Ezekiel Maige.
PMO_5302
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack
PMO_5295 PMO_5264
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipoweka  jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Watatu kushoto ni  Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi Macha na watatu kulia ni Mwenyeiiti wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa. Kushoto ni  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elius Kwandikwa wapili kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages