Wednesday, July 11, 2018

MAJALIWA AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti  wa Mazao ya Kilimo  kutoka Kituo cha Utafiti  cha Mikocheni jijini Dar es salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo  (ASA) na Taasisi ya Utafiti  wa Kilimo Tanzania, kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Julai 11, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo  Tanzania, Japhet Justine.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Mdau, andikamaoni yako hapa yasaidie kujua wewe unafikiri nini kuhusu posti hii. Tafdhali, Maoni yako yasiwe ya uchochezi wa aina yoyote.. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

CCM Blog. Powered by Blogger.