LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 12, 2018

KANGI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziriwa Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiangalia pasipoti ya kielektroniki inayotolewa na Idara ya Uhamiaji, alipotembelea Makao Makuu ya idara hiyo, jijini Dar esSalaam. Kuliani Msimamizi wa chumba cha Uchapaji, Mrakibu Msaidizi, Samuel Gambadu
 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongea na wananchi waliofika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na idara hiyo.jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali mwananchi aliyefika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kupata huduma
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala, akizungumza na Waziri Lugola

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages